Hadi kufikia sasa bado haijafahamika ikiwa majadiliano hayo yatafanyika,kwa mujibu wa taarifa ya idhaa ya RFI, huenda majadiliano hayo yakarejelewa ila bado kuna mgawanyiko mkubwa, ambapo pande zote ...
Makamu wa Rais wa Marekani JD Vance anasema Rais wa Marekani Donald Trump anafikiria kuipa Ukraine makombora ya masafa marefu aina ya Tomahawk. Ukraine imekuwa ikiwaomba washirika wake wa Magharibi ...
"Mimi nilizuia vita saba," alisema Rais wa Marekani, Donald Trump, alipohutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa hivi karibuni akirudia kauli ambayo ameitoa mara kadhaa hapo awali. Hata hivyo, kauli ...
Mwaka huu, Tunzo ya Umoja wa Mataifa ya “Muonesha njia” au kwa kiingereza Trailblazer imekwenda kwa Olukemi Ibikunle, afisa wa magereza kutoka Nigeria anayehudumu katika ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa ...
KESI ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, imeshika kasi, safari hii akikataa kumtumia wakili aliyeteuliwa na Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, Neema ...
Aliyewahi kuwa Spika na Mbunge wa Kongwa, Job Yustino Ndugai amefariki Dunia, leo Agosti 6, 2025, taarifa ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani, Dk.
Dar es Salaam. Wakati Shilingi ya Tanzania ikiendelea kupanda thamani dhidi ya fedha za kigeni kila siku, wadau wameeleza faida na hasara wanazoweza kukutana nazo watu wanaouza bidhaa nje ya nchi.