Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema waliochukua fomu kuomba ridhaa ya ubunge kupitia majimbo Tanzania Bara na Visiwani Zanzibar ni wanachama 4,109. Kimesema kati yao waliochukua Bara ni wanachama 3,585 ...
Aliyekuwa mgombea wa ubunge wa Jimbo la Kinondoni, Muslim Hasanal, amesema ameyapokea kwa furaha na utulivu matokeo ya mchujo wa chama chake, licha ya kutopitishwa kuendelea na mchakato wa kugombea.
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results