Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa leo Ijumaa limewaagiza wachunguzi wake kuchunguza madai ya ukatili katika mji wa El-Fasher nchini Sudan na kuwatambua wahusika ili waweze kufikishwa ...