Katika hali inayoendelea kuzua mijadala mikubwa nchini na kimataifa, Jeshi la Polisi Tanzania limesisitiza kutohusika kwake na matukio ya utekaji na mauaji yanayoripotiwa mara kwa mara kutoka nchini ...